SAKRAMENTI YA KOMUNYO
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Arusha Mhashamu Josephat Lebulu ( wa kwanza kulia), Paroko
mpya padri Simon Amsi (katikati) na Abate Mkuu kutoka Shirika la Wanakanuni wa
kawaida wa Mtakatifu Victor wa Kanuai ya Mtakatifu Augustino (CRSV) nchini
Ufaransa Hugues Paulze d'Ivoy (wa kwanza kushoto) wakitoa Sakramenti ya Komunyo kwa watoto katika Misa ya uzinduzi
wa Parokia mpya ya Mtakatifu Yuda Thadei
Ilboru Jimbo Kuu Katoliki Arusha (picha na Doreen Aloyce)
Comments
Post a Comment