HOSPITALI YA RUFAA BUGANDO YAPATA MKURUGENZI MPYA


Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dodoma Mhashamu Beatus Kinyaiya akimkaribisha na kumtambulisha rasmi Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Bugando Dkt Abel N. Makubi katika Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maaskofu wa TEC unaofanyika Kurasini Jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi huyo anachukua nafasi ya Dkt Kein Mteta aliyestaafu Januari mwaka huu. Katikati ni aliyekuwa akikaimu nafasi hiyo Dkt Merchades Bugimbi. (Picha na Habari na, Bernard James, TEC)

Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

MJUE MTAKATIFU MARIA GORETTI