ZANZIBAR YAPATA MAPADRI WATATU BAADA YA MIAKA 14...

Jimbo la Zanzibar limepata Mapadri watatu(John Mchomba,Raphael Nzalalila na Richard Haki) ikiwa ni miaka 14 tangu upadrisho wa Shemasi Albogasti Mushi.Misa Takatifu ya kutoa Daraja hilo la Upadri imefanyika katika viwanja vya shule ya Francis Maria huko Tomondo.Haya ni baadhi ya matukio katika Azimisho hilo la Misa Takatifu...Picha zote na Bernard James.





































Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU