JIMBO KATOLIKI MOROGORO KUZINDUA KITEGA UCHUMI JUMAMOSI HII



Jimbo Katoliki Morogoro tarehe 9 Julai 2016(Jumamosi) litazindua na kufungua jengo la kitega uchumi.Kutakuwepo na Misa Takatifu saa 3 asubuhi katika kanisa Kuu la Mtakatifu Patrice.Benki ya Mkombozi wapo sehemu ya chini ya jengo kwa ajili ya shughuli za uhakika na za kisasa za kibenki.


Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU