AMANI KWANZA

Picha ya pamoja ya viongozi wa dini mbalimbali nchini wakiwa na Waziri wa mambo ya ndani Mwigulu Nchemba  na washiriki wengine,katika Kongamano la viongozi wa dini kuhusu ugaidi lililofanyika jijini D ar es Salaam.Hii ni hatua nyingine muhimu katika kuimarisha amani na upendo vilivyopo nchini.

Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU