SHULE ZA KANISA KATOLIKI ZATISHA MATOKEO KIDATO CHA SITA



CATHOLIC CHURCH OWNED/MANAGED SECONDARY SCHOOLS NATIONAL FORM SIX EXAMS PERFORMANCE FOR THE YEAR 2016.

SCHOOLS WITH LESS THAN 30 CANDIDATES (National Rank out of 117 schools)
No
NAME OF SCHOOLS
ARCH/DIOCESE
                  DIVISIONS
RANK
MOBILITY



    I
  II
  III
  IV
FAILED
2016
2015

1.
Thomas Moore Sec.
Mbeya
03
01
00
00
00
03


2.
Maua Seminary
Moshi
11
11
00
00
00
04
15
+10
3.
Rubya Seminary
Bukoba
03
05
00
00
00
09
05
-4
4.
Rulenge Sec.
Rulenge-Ngara
12
11
01
00
00
17
22
+5
5.
Nyegezi Semnary
Mwanza
05
08
03
00
00
19
83
+64
6.
Kaisho Sec.
Kayanga
00
07
00
00
00
22
01
-21
7.
Boniconsili Mabamba Girls Sec.
Kigoma
03
20
04
00
00
34
64
+30
8.
Uchama Sec.
Tabora
01
11
04
00
00
38
94
+56
9.
Same Seminary
Same
04
04
04
00
00
39
38
-1
10.
Sangiti Sec.
Moshi
02
17
07
00
00
46
14
-32
11.
St. Vicent Sec.
Tabora
02
05
10
00
00
52


12.
Soni Seminary
Tanga
02
07
07
00
00
58


13.
Dung’unyi Seminary
Singida
00
13
09
00
00
63
44
-19
14.
St. Joseph Ngarenaro
Arusha
04
08
07
00
00
64


15.
St. Luise Mbinga Girls
Mbinga
01
10
12
00
00
71
111
+40
16.
St. Mary’s Mbalizi
Mbeya
00
03
02
00
00
82
93
+11
17.
Kandoto Sayansi Sec.
Same
00
13
16
00
00
84


18.
Kisomachi Sec.
Moshi
00
05
01
01
01
98


19.
Reginamundi Girls Sec
Mahenge
00
07
10
01
01
102
33
-69
20.
Itaga Seminary
Tabora
01
05
06
01
03
107
144
+37

















SCHOOLS WITH 30 OR MORE CANDIDATES (National Rank out of 423 schools)

NO
NAME OF SCHOOL
ARCH/DIOCESE
                    DIVISION
RANK
MOBILITY



    I
   II
  III
  IV
FAILED
2016
2015

1.
Marian Boys Sec.
Morogoro
71
45
10
00
00
06
66
+60
2.
Marian Girls Sec.
Morogoro
67
51
16
01
00
11
19
+8
3.
St. Mary’s Mazinde
Tanga
57
67
12
00
00
12
06
-6
4.
Pandahill Sec.
Mbeya
62
96
12
00
00
14
65
+51
5.
Kifungilo Girls Sec.
Tanga
41
42
13
00
00
19
98
+79
6.
DonBosco-Didia Sec.
Shinyanga
24
34
11
0
0
24
87
+63
7.
St. James Seminary
Moshi
14
13
06
00
00
25
50
+25
8.
St. Mary Goreti Sec.
Moshi
69
141
61
00
00
32
58
+26
9
Uu Seminary
Moshi
28
34
18
00
00
33
64
+31
10
Humura Sec.
Bukoba
07
21
07
00
00
38


11.
Wenda High
Mbeya
26
91
24
00
00
40
34
-6
12.
St. Amedeus Sec.
Moshi
19
38
16
00
00
46


13.
St. Joseph Cathedral
DSM
58
131
38
00
00
47
26
-21
14.
Canossa Sec.
DSM
40
87
37
00
00
50


15
Msolwa Sec.
Morogoro
17
46
15
00
00
55
91
+36
16.
Usa Seminary
Arusha
04
23
05
00
00
66
65
-1
17.
Consolata Seminary
Iringa
08
25
11
00
00
71
56
-15
18.
Huruma Girls Sec.
Dodoma
08
24
11
00
00
82
61
-21
19.
Alfagems Sec.
Morogoro
47
125
69
05
00
86
84
-2
20.
Igawilo Sec.
Mbeya
02
43
07
00
00
102
47
-55
21.
Aquinas Sec.
Mtwara
06
17
10
00
00
105
04
-101
22.
Singe Sec.
Mbulu
06
40
17
00
00
111
41
-70
23.
Visitaion Girls Sec.
Moshi
04
35
15
00
00
113
129
+16
24.
Newman Sec.
Kigoma
08
39
20
00
00
118
109
-9
25.
Marangu Sec.
Moshi
14
49
33
00
00
128
29
-99
26.
Palloti Girls Sec.
Singida
08
21
17
00
00
130
110
-20
27.
Peramiho Girls

01
25
09
00
00
135
32
-103
28.
St. Peter’s Seminary
Morogoro
01
20
10
00
00
137
49
-88
29.
Salesian Seminary
Dodoma
06
24
20
00
00
140
55
-85
30.
Msakila Sec.
S’wanga
01
28
12
00
00
149
80
-69
31.
Kiraeni Girls Sec.
Moshi
02
27
20
00
00
170
36
-134
32.
Mafinga Seminary
Iringa
05
21
18
01
00
176
74
-102
33.
Mwembeni Sec.
Musoma
00
28
29
00
00
183
71
-112
34.
Loyola Sec.
DSM
17
82
103
04
00
196
136
-60
35.
Bigwa Sisters Sem.
Morogoro
07
13
18
02
00
206
150
-56
36.
Rosmini Sec.
Tanga
11
79
67
07
00
207
103
-104
37.
Ungwasi Sec.
Moshi
02
16
17
00
00
209
95
-114
38.
Annagamazo Sec.
Mbulu
04
12
15
01
00
215
21
-194
39.
Sumve Sec.
Mwanza
07
60
63
02
00
226
153
-73
40.
Loreto Girls Sec.
Mwanza
10
37
63
00
00
225
104
-121
41.
Kigurunyembe Sec.
Morogoro
01
31
26
04
00
232
89
-143
42.
Sanu Seminary
Mbulu
02
25
22
02
00
233
126
-127
43.
St. Maurus Chemchem Sec.
S’wanga
02
27
39
05
01
243
56
-187
44.
John Paul II Kahama Sec.
Kahama
01
23
20
01
00
251
55
-196
45.
Bendel Memorial Sec.
Moshi
08
49
67
03
00
254
126
-128
46.
St. Joseph Girls Sem.
Mwanza
07
06
19
01
00
257
101
-156
47.
Kigonsera Sec.
Mbinga
28
204
245
19
05
258
188
-170
48.
Kibosho Girls Sec.
Moshi
05
45
50
04
00
260
85
-175
49.
St. Anthony’s Sec.
DSM
12
105
161
11
00
263
132
-131
50.
St. Theresa of the Child Jesus Sec.
Arusha
02
18
35
00
00
276
82
-194
51.
Kasita Seminary
Mahenge
00
13
24
00
00
284
121
-163
52.
St. Christina Girls Sec.
Tanga
07
42
66
04
01
288
119
-169
53.
Maria De Mattias Sec.
Dodoma
01
12
32
01
01
343


54.
St. Mary’s Duluti Sec.
Arusha
01
16
35
05
00
355
146
-209
55.
Star Sec.
Arusha
02
09
15
04
01
367


56.
Edmund-Rice-Sinon
Arusha
08
60
137
32
11
377
215
-162
57.
Majengo Sec.
Moshi
21
184
478
103
51
381
140
-241
58.
Imboru Sec.
Mbulu
03
24
70
16
07
406















Jumla ya wanafunzi waliofanya mtihani wa kidato cha sita mwaka huu ilikuwa 65,585 kitaifa na kati ya hao wanafunzi wa shule za Kanisa Katoliki waliofanya mtihani huo ni 6,748 sawasawa na asilimia 10.3%. Wanafunzi waliofaulu kwa daraja la kwanza ni 939, daraja la pili ni 2,914, daraja la tatu ni 2,572. Ufaulu hafifu, yaani daraja la nne ni 240 na walioshindwa ni 83.
Ni mategemeo kuwa idadi ya watakaojiunga na vyuo vikuu kutoka katika shule za Kanisa Katoliki ni 6,425.

Pongezi nyingi ziwafikie Makatibu Elimu Jimbo na wakuu wa shule husika kwa matokeo haya. Walimu na wafanyakazi wengine wa shule ni mchango mkubwa katika maendeleo ya elimu ya watoto wetu. Hongereni nyote kwa kazi nzuri.

Ujuzi/maarifa, ubunifu,  kujituma na kuwajibika, pamoja na ushirikiano ni moja ya silaha zitakazotusaida kuongeza ubora wa elimu katika shule zetu.

Matokeo ya mitihani ni kipimo kwetu sisi walimu kuona ni kwa jinsi gani tumewajibika na kwasaidia wanafunzi kusonga mbele katika kutimiza ndoto zao.

Tunapomshukuru Mungu kwa matokeo ya kazi yetu ya kuelimisha tujisifu si kwa shule yetu kuwa ya kwanza au kati ya kumi bora bali tujisifu kuwa wanafunzi tuliokabidhiwa wameelimika na kupata fursa ya kusonga mbele kimasomo na kimaadili.

Walimu tuendelee kupambana tutengeneze wataalamu mahiri katika fani mbalimbali. Hawa tunawahitaji kwa Tanzania ya leo na kesho na dunia nzima.

Matokeo haya yamechambuliwa na kupembuliwa na Katibu Mtendaji Idara ya Elimu Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) 16/07/2016.        Padri Raraiya Alphonce Shayo.

Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU