UZINDUZI ALBUM YA KWAYA YA MT KIZITO – MAKUBURI DSM

Matukio katika picha kufuatia uzinduzi wa Album ya 11 (Mimina Neema) ya Kwaya ya Mt. Kizito Parokia ya Mwenyeheri Annuarite Makuburi Jimbo Kuu Dar es Salaam. Uzinduzi huo ulifanyika hivi karibuni katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Loyola jimboni humo ambapo mgeni rasmi alikuwa Paroko wa Parokia ya Wazo Hill Pd. Joseph Mkonde. Picha zote na Adeline Berchimance





Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU