Waamini Parokia ya Roho Mtakatifu Segerea Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam wahitimisha mwezi wa Rozali
















Mrs. Yolanda Kahanduka Mwenyekiti wa WAWATA Parokia ya Roho Mtakatifu Segerea akitoa shukrani kwa Masista wa Parokiani hapo

Sista Ursulina Manonga akipokea zawadi ya Cherehani kutoka kwa WAWATA wa Parokia ya Roho Mtakatifu Segerea 

Sista Ursulina Manonga akitoa shukrani kwa WAWATA baada ya kupokea zawadi hiyo

Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU