MKUTANO MKUU WA MWAKA WA MAWASILIANO, ICT KWA WAKUU WA MAWASILIANO NCHI ZA AMECEA, WATAALAMU WA ICT UNAENDELEA KURASINI DSM

Mwenyekiti wa kamati ya Mawasiliano ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania Mhashamu Askofu Bernadine Mfumbusa(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wakurugenzi wa Mawasiliano, wataalamu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, wakuu wa vitengo vya habari kutoka nchi za AMECEA baada ya ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka wa ICT na mawasiliano unaofanyika makao makuu ya TEC Kurasini jijini Dar es Salaam. Mkutano huo una lengo la kuwakutanisha wakuu hao wa mawasiliano kujadili na kubadilishana uzoefu juu ya mawasiliano.



 







Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU