|
Mhashamu Askofu Joseph Mlola wa Jimbo katoliki Kigoma
akiongoza Misa wakati wa Hija ya Dekania ya Kigoma, katika Homilia yake
amesisitiza kuwa Mwaka huu wa Huruma ya Mungu ulianza kwa ufunguzi wa lango kuu
la Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatikani, tukio lililofanyika hapo
Desemba 8 mwaka jana, wakati wa Sikukuu ya Bikira Maria Mkingiwa dhambi ya
asili.
|
Comments
Post a Comment