BUNDA WAASWA KUMKIMBILIA BIKIRA MARIA



Waamini wakatoliki wametakiwa kumkimbilia Mama Bikira Maria wakati wa shida kwani kupitia kwake wanapata neema zote .
Hayo yamesemwa na Paroko wa parokia ya Mtakatifu Paul katika jimbo katoliki Bunda padri Paulo Kamuhabwa katika mahubiri yake kwenye maadhimisho ya misa takatifu parokiani hapo .

Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU