JIMBO KATOLIKI BUNDA LAPATA PADRI MPYA, KATIKA PAROKIA YA NAKAMWA KISIWANI UKEREWE

Jimbo katoliki Bunda limempata padri mpya, Joanes Nyawach katika misa takatifu ya upadrisho iliyofanyika katika parokia ya Nakamwa Kisiwani Ukerewe na kuongozwa na Baba Askofu Renatus Nkwande wa Jimbo hilo. Yafuatayo ni baadhi ya matukio muhimu yaliyotokea siku hiyo.

 















Comments

  1. Mungu ni mkubwa mwenye upendo asante kwa zawadi ya padri mpya

    ReplyDelete

Post a Comment