MAMA TEREZA:YAPO MENGI YA KUJIFUNZA KWAKE

Moja kati ya matukio ya huruma aliyoshiriki Mama Tereza wa Kalkuta enzi za uhai wake. Jitihada zake za kuwasaidia wanyonge na wasiojiweza zinakumbukwa mpaka sasa wakati akielekea kutangazwa Mtakatifu mwezi Septemba.

Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

MJUE MTAKATIFU MARIA GORETTI