HONGERA SANA ABATE NA MAPADRI WAPYA JIMBO KUU KATOLIKI SONGEA
Abate mpya Octavian Masingo OSB baada ya kusimikwa kuwa abate mpya wa Abasia ya Wabenediktini wa Mtakatifu Maurus Hanga, iliyopo katika Jimbo Kuu Katoliki Songea. Abate Masingo ni abate wa tatu wa Abasia ya Hanga, ambapo abate wa kwanza alikuwa Abate Alkwin Nyirenda na wa pili ni Abate Thadei Mhagama
Askofu wa Jimbo
Katoliki Bunda Mhashamu Renatus Nkwande akisaini cheti cha uthibitisho wa Padri
mpya Prosper Luhinda, baada ya kutoa
Daraja Takatifu la Upadri kwa Padri Luhinda
Mapadri wapya wa Jimbo Kuu Katoliki Songea, Padri Paulo
Mwalongo na Padri Felix Kalemba, mara baada ya kupewa Daraja Takatifu la Upadri
na Askofu Mkuu Damian Dallu wa jimbo hilo.
Comments
Post a Comment