PAPA FRANSISKO HABAGUI

PAPA Fransisko alipokutana na mchezaji nguli wa zamani duniani muargentina Diego Maradona kabla ya mechi ya hisani ya kuleta amani na umoja iliyochezwa katika uwanja wa Stadio Olimpico Roma......wachezaji wengine mahiri wa zamani walioshiriki ni Ronaldinho, Roberto Carlos, Aldair, Cafu, Claudio Lopez, Hernán Crespo, Zambrotta, Rui Costa, Juan Sebastián Verón, Fabio Capello, Aitor Karanka na Francesco Totti.

Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

MJUE MTAKATIFU MARIA GORETTI