“UTAWA SI KICHAKA CHA TABIA ZISIZOFAA”
Askofu mkuu wa jimbo
kuu katoliki Tabora Mhashamu Paulo Ruzoka amewataka watawa nchini kuziishi
karama za mashirika yao kwa kufuata kanuni na miongozo ya waasisi wao.
Askofu mkuu Ruzoka ametoa wito huo hivi karibuni wakati akizindua na kutabaruku kanisa la masista wa shirika la mtakatifu Benedicto lililopo katika nyumba mpya ya masista hao katika parokia ya Ulwila jimboni Mpanda....habari zaidi soma gazeti la KIONGOZI
Comments
Post a Comment