WAAMINI WAASWA KUWA NA HURUMA
WAAMINI wa dini ya kikristo nchini,
wametakiwa kuwa na matendo mema na yanayompendeza Mungu, hususanI katika
kipindi hiki cha mwaka wa huruma.
Akihubiri
jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, katika misa ya sala ya utume mama wa
mataifa yote (Bikra Maria), Padri Faustine Kamugisha amesema ni vyema kila
mmoja akayafuata yale matendo mema, anayofanya Mama Maria............taarifa zaidi soma gazeti la KIONGOZI
Comments
Post a Comment