WATAKATIFU WAPYA 7 HAWA HAPA

Muargentina Jose Gabriel del Rosario Brochero, Waitalia wawili, Wafaransa wawili, Mhispania mmoja pamoja na Mmexico mmoja wametangazwa kuwa watakatifu wapya katika tukio lililoshuhudiwa na zaidi ya watu 80,000 katika ukumbi wa St. Peter’s akiwemo raisi wa Argentina Mauricio Macri na familia yake.

Majina ya watakatifu wapya haya hapa:
 
Jose Gabriel del Rosario Brochero(1840-1914).
Jose Sanchez del Rio          
Guillaume-Nicolas-Louis Leclerq  
Manuel Gonzalez Garcia 
Ludovico Pavoni
Alfonso Maria Fusco
Elizabeth of the Trinity (1880-1906).

Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

MJUE MTAKATIFU MARIA GORETTI