30 wapokea Sakramenti ya Kipaimara Mafia
“Tusiwalee watoto kwa kupenda kitu bali hutu kwani kitu
huchakaa na utupwa, nyinyi mkizeeka watawakataa kutokana mtakuwa hamna kitu”
Askofu Nzigilwa ameyasema hayo wakati wa wa maadhimisho ya misa takatifu ya
kipaimara katika Parokia ya Teresia Mtoto Yesu, Mafia Jimbo katoliki Dar es
Salaam (Picha na Geofrey Hilmary)
Comments
Post a Comment