MAMA MKUU SISTER MARIA MAGUMBA AAPISHWA

Askofu wa Jimbo katoliki Musoma Michael Msonganzila  akimuapisha Mama Mkuu Sir Maria Lucy Magumba wa shirika la masista Moyo safi wa Maria,aliyechaguliwa kuongoza kwa kipindi cha miaka mitano ,katika ibada ya Misa takatifu iliyofanyika katika Kanisa la Novisiati Makoko hivi karibuni (picha na Veronica Modest)


Askofu wa jimbo Katoliki Musoma Michael Msonganzila  (katikati), Sista Maria Lucy Magumba wa shirika la Masista Moyo safi wa Maria(kushoto) na Padri Wiliam Bahitwa wakisaini hati ya kiapo baada ya kuapishwa Mama Mkuu Lucy Magumba aliyechaguliwa kuongoza kwa kipindi cha miaka mitano ,katika ibada ya misa takatifu iliyofanyika katika Kanisa la Novisiati Makoko hivi karibuni (picha na Veronica Modest)

Askofu wa Jimbo Katoliki Musoma Michael Msonganzila akimpongeza , Mama mkuu Sir Maria Lucy Magumba  baada ya kula kiapo na alipochaguliwa  kuongoza kwa kipindi cha miaka mitano ,katika ibada ya misa takatifu iliyofanyika katika Kanisa la Novisiati Makoko hivi karibuni (picha na Veronica Modest)


Masista wakimpongeza  Mama mkuu Sir Maria Lucy Magumba wa shirika la Masisita Moyo safi wa Maria, baada ya kula kiapo , alipochaguliwa  kuongoza kwa kipindi cha miaka mitano ,katika ibada ya misa takatifu iliyofanyika katika Kanisa la Novisiati Makoko hivi karibuni (picha na Veronica Modest)

Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

MJUE MTAKATIFU MARIA GORETTI