Watoto wa Shirika la Kimisionari la Kipapa la Utoto Mtakatifu Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam wafanya hija ya Kimisionari kisiwani Mafia.

“Nendeni Mafia mkainjilishe watoto wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam wanatambua kwanini tunaenda Mafia kila mwaka ila wengine mkiludi nitawaambia” hayo ni maneno ya Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo wakati akiwaaga watoto wa Utoto Mtakatifu Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Ifakara na Mpanda katika viwanja vya Msimbazi Centre, jijini Dar es Salaam kabla ya kuanza safari ya kuelekea Mafia.







Watoto wakipewa dawa kabla ya kupanda kwenye Boti

Watoto wa Utoto Mtakatifu wakipanda Boti


Watoto wa Utoto Mtakatifuwakiwa ndani ya Boti wakielekea Mafia

Watoto wa Utoto Mtakatifu wakishuka kwenye Boti baada ya kuwasili Mafia

Watoto wa Utoto Mtakatifu baada ya kuwasili Mafia


Watoto hao walipokelewa na Askofu Msaidizi wa Jimbo kuu Katoliki la Dar es Salaam Eusebius Nzigilwa pamoja na Paroko wa Parokia ya Mafia Padri Francis Maclello Massawe hakika ilipendeza jinsi watoto walivyo msifu Mungu kwa nyimbo na vigelegele pamoja na kusali Rozari.


Watoto wa Utoto Mtakatifu wakisali rozari

Watoto wa Utoto Mtakatifu wakiwa kwenye Semina




Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

MJUE MTAKATIFU MARIA GORETTI