Matukio yaliyojiri katika kikao cha Kamati ya Muziki Mtakatifu Taifa pamoja na wadau wa muziki Mtakatifu kwenye makundi mbalimbali, kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Idara ya Liturujia ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, na Askofu wa Jimbo Katoliki Ifakara Mhashamu Salutaris Libena. Kikao hicho cha siku moja kimefanyika Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania.










Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU