VIONGOZI WA KIDINI WATAKIWA KUSHIRIKIANA



Viongozi  wa  makanisa  hapa  nchini  wametakiwa kuwa  na umoja ili kujenga  umoja  wa  makanisa utakaomfanya Kristo  ahubiriwe kila  mahali kwa  ukombozi  wa  watu  wote .
Hayo  yamesemwa   na  Askofu   John Mwakyusa  wa  Kanisa  la  FPTC, Jimbo  la  Tanga hivi karibuni katika mahubiri yake.
Askofu Mwakyusa    amesema    kuwa   umoja  wa  makanisa  katika kuinjilisha ndiyo  msingi  kwa  neno  la  Mungu  na  kuwa  siku   zote  kama   hakuna    umoja   hakuna   Kanisa. Amebainisha kuwa waamini  wakikaa  kwa  umoja  hata  nchi  ni  rahisi  kukaa kwa  umoja  kwa  sababu  misingi  yake  ipo  mioyoni  mwa  watu  wake.

Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU