MAJONZI: MAZISHI YA MAMA MZAZI WA ASKOFU WA JIMBO KATOLIKI MUSOMA MHASHAMU MICHAEL MSONGANZILA PICHANI



PICHA mbalimbali za Mazishi ya marehemu Teckla Kayayabo Ng'wata Msonganzila (87),Mama mzazi wa Askofu wa Jimbo Katoliki Musoma Mhashamu Michael Msonganzila aliyefariki Julai Mosi katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando Jijini Mwanza na kuhudhuriwa na maaskofu mbalimbali kutoka majimbo jirani. Mazishi hayo yalifanyika nyumbani kwa marehemu Ukiriguru, Mwanza. (Picha na Veronica Modest)












Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU