TEC YAPATA NAIBU KATIBU MKUU


Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limempata Naibu Katibu Mkuu ambaye pamoja na majukumu mengine, atakuwa akishughulikia masuala mbalimbali ya utendaji wa kila siku wa Baraza, kusimamia masuala ya wafanyakazi, nidhamu, mshauri wa masuala ya kisheria na msimamizi wa majukumu ya Katibu Mkuu anapokuwa nje ya ofisi. Padri Daniel Dulle (Pichani) ndiye atakayesimamia nafasi hiyo katika Sekretarieti ya Baraza la Maaskofu.

Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU