Mapadri waaswa kutobagua waamini



Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Tabora Mhashamu Paulo Rozoka hivi karibuni amewaasa mapadri nchini kushika maagano ili kuweza kupeleka Imani ya kristo kwa watu wote pasipo kubagua.
Askofu Mkuu Ruzoka ameto rai hiyo kwenye adhimisho la Misa Takatifu katika Parokia ya Bikira Maria Mama wa Neema Lububu na kutoa Sakramenti ya Daraja la upadri kwa padri Fabian Mkama.





Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU