Askofu Maluma-Upadri ni kujitoa bila kubakiza



Mapadri nchini wametakiwa kujitoa kwa hiyari yao bila kujibakiza katika maisha yao ya utume wa kipadri ndani ya Kanisa ili kuisaidia jamii hasa ya kitanzania kuondokana na matendo maovu ambayo yanajitokeza kila kukicha.

Hayo yamesemwa na Askofu wa Jimbo Katoliki Njombe Mhashamu Alfred Maluma alipokuwa akihubiri katika Kanisa Kuu la Mt. Yosefu jimboni humo katika adhimisho la Misa Takatifu ya watakatifu Petro na Paulo Mitume, ambapo yalitolewa madaraja ya Upadri na Ushemasi.

Aliyepata Daraja Takatifu ya Upadri siku ni Shemasi Jimsoni Mtifu wa Shirika la Mapendo la Warosiminiani-Tanga na waliopata Daraja la Ushemasi na Waseminari ni Frank Mwinami na JohnBosco Mligo wa Jimbo Katoliki Njombe.






Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU