MIAKA 25 YA KULIONGOZA JIMBO KUU KATOLIKI DSM VYEMA: HONGERA MWADHAMA POLICARP KARDINALI PENGO


 Matukio mbalimbali yaliyojiri katika Misa ya shukrani ya Mwadhama Policarp Kardinali Pengo kuliongoza Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam. Misa ilifanyika katika Kanisa Kuu la Jimbo(St. Joseph) jijini Dar es Salaam. Moja kati ya wageni waliohudhuria tukio hilo la kihistoria ni Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Benjamin W. Mkapa..Hongera Baba.















Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU