Siku ya Jamii (Community Day) ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino Mwanza (SAUT).

Matukio yaliyojiri katika kuadhimisha siku ya Jamii (Community Day) ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino Mwanza (SAUT). Katika fursa hiyo Makamu Mkuu wa chuo hicho Padri Dkt. Thadeus Mkamwa amekagua mabanda mbalimbali yaliyoonyesha kazi zinazofanywa chuoni hapo, ikiwa ni pamoja na kutoa zawzi kwa wanafunzi waliofanya vizuri katika tafiti zao.






Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU