UTUME MWEMA: MUSOMA WAPONGEZWA

Askofu wa Kanisa  Katoliki Jimbo Musoma Michael Msonganzila akiwapatia mkono wa pongezi wanajubilei waliotimiza miaka 25,40,50 na 60 ya  upadri na utawa, sherehe zilizofanyika katika Parokia ya Rwamlimi Jimbo la Musoma hivi Karibuni(picha na Veronica Modest)

Askofu wa Jimbo katoliki Musoma Michael Msonganzila akimkabidhi hati ya baraka ya Baba Mtakatifu Francis  Padri James Conard kwa kutimiza miaka 60 ya utumishi katika kanisa tangu apate daraja la upadri , sherehe zilizofanyika katika Parokia ya Nyarombo Jimbo la Musoma hivi Karibuni(picha na Veronica Modest)


Padri James Conard akiwaonyesha waamini kwa parokia ya Nyarombo  hati ya baraka ya Baba Mtakatifu Francis  ya kutimiza miaka 60 ya utumishi katika kanisa tangu apate daraja la upadri baada ya kukabidhiwa na Askofu wa Jimbo katoliki Musoma Michael Msonganzila, sherehe zimefanyika katika Parokia ya Nyarombo Jimbo la Musoma hivi Karibuni(picha na Veronica Modest)

Askofu wa Jimbo katoliki Musoma Michael Msonganzila akimkabidhi hati ya baraka ya Baba Mtakatifu Francis  Padri Faustine Abala kwa kutimiza miaka 25 ya utumishi katika kanisa tangu apate daraja la upadri , sherehe zimefanyika katika Parokia ya Nyarombo Jimbo la Musoma hivi Karibuni(picha na Veronica Modest)

Askofu wa Jimbo katoliki Musoma Michael Msonganzila akimkabidhi hati ya baraka ya Baba Mtakatifu Francis  Padri Alexander Coka  kwa kutimiza miaka 50 ya utumishi katika kanisa tangu apate daraja la upadri , sherehe zimefanyika katika Parokia ya Nyarombo Jimbo la Musoma hivi Karibuni(picha na Veronica Modest)

Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

MJUE MTAKATIFU MARIA GORETTI