“UTAWA SI KICHAKA CHA TABIA ZISIZOFAA”



Askofu mkuu wa jimbo kuu katoliki Tabora Mhashamu Paulo Ruzoka amewataka watawa nchini kuziishi karama za mashirika yao kwa kufuata kanuni na miongozo ya waasisi wao.

Askofu mkuu Ruzoka ametoa wito huo hivi karibuni wakati akizindua na kutabaruku kanisa la masista wa shirika la mtakatifu Benedicto lililopo katika nyumba mpya ya masista hao katika parokia ya Ulwila jimboni Mpanda....habari zaidi soma gazeti la KIONGOZI

Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU