Mkutano wa Kitaifa wa Wakurugenzi wa Idara na Vitengo vilivyopo chini ya Kurugenzi ya Uchungaji
Matukio mbalimbali yaliyojiri wakati Askofu wa Jimbo Katoliki Moshi Mhashamu Isaac Amani akifungua Mkutano wa Kitaifa wa Wakurugenzi wa Idara na Vitengo vilivyopo chini ya Kurugenzi ya Uchungaji, uliofanyika katika Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania na kuhudhuriwa na wakurugenzi kutoka majimbo mbalimbali katoliki nchini (Picha zote na Pascal Mwanache).
Comments
Post a Comment