WAVUVI KISIWA CHA RUKUBA WASOGEZEWA HUDUMA YA KIROHO(WAKABIDHIWA KANISA)

WAVUVI wakazi wa kisiwa cha Rukuba pamoja na jamii zingine wanaojishughulisha na uvuvi wamepatiwa huduma ya kanisa ambalo litakuwa msaada mkubwa kwao kiroho kukusanyika kwa pamoja kwa ajili ya kusali pamoja.





Picha namba 01 hadi 04 zinaonyesha jengo la kanisa la Mtakatifu Papa Yohane wa XXIII ,Kigango cha Rukuba parokia ya Nyegina,ili kuwasaidia wavuvi ambao ndio wakazi wa kisiwa hicho cha Rukuba wanaojishughulisha na uvuvi kukusanyika kwa pamoja kwa ajili ya kusali pamoja.
picha 05 Baba Askofu wa Jimbo katoliki Musoma Michael Msonganzila,akiwabariki waamini wa kanisa hilo,kulizindua  na kubariki kuta za kanisa hilo la Mtakatifu Papa Yohane wa XXIII(picha zote na Veronica Modest)

Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU