ASKOFU MSONGANZILA ATOA MPAKO WA WAGONJWA MUSOMA
Askofu wa Jimbo Katoliki
la Musoma Michael Msonganzila akiwapa wagonjwa sakramenti ya mpako wa wagonjwa
katika ibada ya kuwaombea wagonjwa iliyofanyika katika Parokia ya Mtakatifu
Augostine Mwisenge (picha na Veronica Modest)
Comments
Post a Comment