CARITAS MBELE ZAIDI KUBORESHA MAISHA YA WATANZANIA


Bwana Joseph Masago akiwasilisha mada juu ya mafanikio ya miradi ya maendeleo kati ya Caritas Australia na Caritas Tanzania,katika mkutano wa wadau jijini Nairobi.Wanufaika wa miradi hiyo ni Jimbo la Ifakara,Mahenge na Mbulu.

Watendaji wa mradi wa Tanzania wakipokea zawadi kutoka kwa wenzao wa nchini Malawi

Bi.Rither Maleo ambaye ni mratibu wa mradi wa maendeleo unaotekelezwa kati ya Caritas Australia na Jimbo la Mbulu kupitia Caritas Tanzania akielezea mafanikio yaliyopatikana kwa wanufaika wa kijiji cha Endashangwe't wilayani Mbulu.Baadhi ya mafanikio hayo ni upatikanaji wa maji safi na salama,kuongezeka upatikanaji wa chakula,kuongezeka kipato kupitia kilimo cha vitunguu na wanawake kuwa na miradi ya kujipatia kipato.

Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU