TANZANIA INAKUSUBIRI WEWE BABA KASSALA

Tarehe 12 June ni kama haifiki kwa namna waamini wa kanisa Katoliki na wana Geita wanavyosubiri kwa hamu kubwa tukio la kihistoria la kusimikwa kwa Askofu wa Geita Baba Flavian Kassala.Blog hii imejihakikishia hamu hiyo kutokana na maoni toka kwa wakazi wa Geita.Mwenyezi Mungu aisimamie safari yako Baba.Amina.Pichani Baba Kassala akila kiapo cha uaskofu.
Bernard James




Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU