KINYWA CHA MZEE HAKINUKI UGOLO..

Kutana na Monsignor Topper katika Jubilei yake ya miaka 80.Monsignor ametambulishwa kama Padri mkongwe zaidi na aliyetumikia nafasi ya upadri kwa kipindi kirefu kuliko Padri YEYOTE nchini Marekani kwa sasa.Jumapili Mei 22 alipewa TUZO ya heshima pia kufanyiwa maombi maalum na kumtakia mafanikio mema.Mwenyezi Mungu amzidishie maisha zaidi na utumishi mwema,AMINA.

Comments