HUDUMA ZA KIJAMII
Mhashamu Baba Askofu wa Jimbo katoliki Musoma Michael Msonganzila hivi karibuni alizindua na kubariki kisima cha maji katika kijiji cha Kiagata lengo likiwa kumaliza tatizo kubwa la ukosefu wa maji na kuyafuata umbali mrefu linalowakabili hasa wakinamama wa kijiji hicho.Kijiji hiki kipo katika parokia ya Butiama.
Comments
Post a Comment