UFUNGUZI MWAKA WA MASOMO 2017/2018 CHUO KIKUU CHA MTAKATIFU AGUSTINO (SAUT) MWANZA

 Matukio mbalimbali ya Misa ya ufunguzi wa mwaka wa masomo 2017/2018 Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) Mwanza katika ukumbi wa m9. Adhimisho hilo limeongozwa na Makamu Mkuu wa Chuo hicho Padri Tadeus Mkamwa. Picha na George Alexander...Habari zaidi soma gazeti KIONGOZI juma hili.







Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU