SKAUTI KATOLIKI SASA RASMI; WAFANYA MKUTANO WA KWANZA TEC



SKAUTI Katoliki Tanzania imefanya Mkutano wake wa Kwanza baada ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) kuruhusu kuingia kwenye kipindi cha mpito (Ad-interim) ili kujipanga na kufanikiwa kutangazwa rasmi kuwa chama cha Kitume Kitaifa.
Mkutano huo wa siku tatu umefanyika hivi karibuni katika Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Kurasini jijini Dar es Salaam ukiwashirikisha wajumbe  mbalimbali kutoka majimbo 17 Katoliki Tanzania.....habari zaidi soma gazeti Kiongozi la juma hili







Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU