HIJA JIMBONI TANGA PICHANI



Matukio mbalimbali ya adhimisho la ibada ya Hija katika Jimbo Katoliki Tanga na Parokia zake 34 kwenye Kituo cha Hija Parokia ya Gare Lushoto na kuongozwa na Askofu wa Jimbo Katoliki Tanga Mhashamu Antoni Banzi ambapo maelfu ya waamini kutoka Parokia za Jimbo hilo na majimbo mengine wamehudhuria.








Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU