JIMBO KATOLIKI MBULU KUFANYA TAMASHA KUBWA WIKENDI HII..MAELFU KUHUDHURIA



Redio Habari Njema inayomilikiwa na Jimbo  Katoliki Mbulu mkoani Manyara imeandaa Tamasha la kiutamaduni  la Kiiraqw linalofahamika kwa jina la Tamasha la Imbori .


Akizungumza na waaandishi wa habari paroko wa parokia ya Sanu ambaye pia ni Makamu wa Askofu Jimbo Katoliki Mbulu Padri Urbano Sulle ameeleza kuwa tamasha hilo litahusisha uzinduzi wa kipindi cha upatanisho na msamaha  kwa watu wa Mungu pale walipokoseana na kudumisha amani..Habari zaidi soma gazeti KIONGOZI wiki hii...






Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU