YANAYOJIRI SASA DODOMA: BALOZI WA VATICAN NCHINI TANZANIA PAMOJA NA ASKOFU MKUU PROTAS RUGAMBWA WAUNGANA NA MAASKOFU


Balozi wa Baba Mtakatifu nchini Tanzania Askofu Mkuu Marek Solczyński akiwa na Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania Askofu Mkuu Beatus Kinyaiya katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba Jimbo Kuu Katoliki Dodoma katika uzinduzi wa Kilele cha Miaka 100 ya Upadri Tanzania Bara.






Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

MJUE MTAKATIFU MARIA GORETTI