UTAMBULISHO: BALOZI WA VATICAN NCHINI TANZANIA ASKOFU MKUU MAREK SOLCZYNSKI AJITAMBULISHA IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli amepokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Vatikani nchini Tanzania Askofu Mkuu Marek SolczyƄski. Balozi huyo aliwasili nchini Tanzania Julai 12 na anatarajiwa kushiriki katika kilele cha Jubilei ya Miaka 100 ya Upadri nchini Tanzania kitakachofanyika kuanzia tarehe 14-16 Agosti mwaka huu jimboni Dodoma.
Habari na Bernard James, Picha: IKULU















Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

MJUE MTAKATIFU MARIA GORETTI