" SAMEHENI" PAPA FRANSISI

Papa Fransisko akiongea na hadhara huko St. Peter' s Square kama ilivyo ada kila juma, amesisitiza juu ya UAMINIFU kuwa kama huruma kama alivyo Bwana, kwa sababu yeye alisema kwamba hiyo ndiyo njia ya uhakika kuwa kama alama na njia na ushuhuda wa upendo wake.

Bernard James

Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

MJUE MTAKATIFU MARIA GORETTI