KUIOMBEA DUNIA AMANI: ZAIDI WA WATU 400 KUTOKA DINI MBALIMBALI DUNIANI KUKUTANA LEO ASSISI


Watu zaidi ya 400 kutoka dini mbalimbali duniani wanakutana leo huko Assisi kwa siku tatu za majadiliano ya kuombea amani duniani.

Mijadala, uwasilishaji wa mada na majadiliano kuhusu haki na usawa katika jamii kama vyanzo vya amani pia mabadiliko ya tabia nchi na matumizi mabaya ya dini ni baadhi ya mambo yatakayojadiliwa.

Maazimisho haya ya 30 ya kuombea amani duniani kwa mara ya kwanza yaliandaliwa na Baba Mtakatifu Papa John Paul Wa Pili mwaka 1986.

Bernard James

Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

MJUE MTAKATIFU MARIA GORETTI