MKUTANO WA WAFANYAKAZI TEC, UONGOZI WAWAKUMBUSHA WAJIBU
SEKRETARIETI ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC imefanya mkutano na wafanyakazi wa kurugenzi, idara, waratibu na wafanyakazi wa vitengo kadhaa chini ya baraza. Mkutano huo pamoja na mambo mengine umewakumbusha wafanyakazi tunu za baraza, utendaji kazi, dira na dhamira ili waboreshe utendaji kazi wao wa kila siku. Mkutano Katibu Mkuu wa TEC Padri na Padri Raymond Saba. Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa mikutano TEC-Kurasini, Jijini Dar es Salaam
Comments
Post a Comment