KUBORESHA ELIMU:PICHA KADHAA ZA MAMA GRACA MACHEL ALIPOTEMBELEA JIMBONI MUSOMA HIVI KARIBUNI





 Mjane wa Rais wa Afrika Kusini Nelson Mandela,Graca Machel  na Mhashamu Baba Askofu wa Jimbo Katoliki la Musoma wakiteta jambo huku wakitembea baada ya mazungumzo ndani ya ukumbi eneo la nje la Conference centre(picha na Veronica Modest)


Picha ya pamoja timu ya Graca Machel ,timu ya Mara Alliance na uongozi wa Jimbo la Musoma(picha na Veronica Modest)


Mjane wa Rais wa Afrika Kusini Nelson Mandela,Graca Machel,Baba Askofu wa Jimbo la Musoma Michael Msonganzila na Wakili mwandamizi na Sekretari wa Mara Alliance  wakili Mwandamizi Ostack Mligo wakitembea kuingia kwenye lango la jengo la Mkuu wa Mkoa wa Mara(picha na Veronica Modest)
  
Lengo la ziara likiwa ni kuzindua na kutiliana saini  mradi wa kuwarudisha shuleni watoto walioko nje ya shule ili waendelee na masomo kwa mwaka 2016/2017 katika ukumbi wa jengo la Mkuu wa Mkoa wa Mara.

Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU