GRACA MACHEL AFANYA ZIARA JIMBONI MUSOMA(PICHANI)



Mjane wa rais wa zamani wa Afrika Kusini Nelson Mandela mama Graca Machel amefanya ziara jimboni Musoma na kuhamasisha utoaji wa huduma za uhakika za kijamii hasa elimu huku akipongeza jitihada kubwa zinazofanywa na kanisa katoliki katika utoaji wa huduma hizo na nyingine nyingi kwa jamii.
Pichani Mama Graca akiwa na baadhi ya viongozi wa kanisa na serikali.

Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU