KAMATI YA MUZIKI YAKUTANA TEC KUJADILI,KUTATUA CHANGAMOTO ZA MUZIKI MTAKATIFU..

Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Liturujia ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) wakifuatili Mkutano wao wa mwaka ulioongozwa Askofu Salutaris Libena wa Jimbo Katoliki Ifakara, na Mwenyekiti wa Idara ya Liturujia TEC. Mkutano huo umefanyika hivi karibuni TEC Kurasini jijini Dar es salaam

Askofu Salutaris Libena wa Jimbo Katoliki Ifakara na Mwenyekiti wa Idara ya Liturujia Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) akiongoza Mkutano wa Kamati Muziki uliofanyika hivi karibuni TEC Kurasini jijini Dar es salaam. Kushoto kwake ni Katibu Mtendaji wa Idara ya Liturujia TEC Padri Paul Chiwangu

Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU